Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Wingi katika vita mara nyengine hauna maana yoyote.Kama ni hoja kundi la nyati lisinge simba mmoja tu.India wako wengi ila kama hawajielewi na hao Pakistan ni wabishi sana.
Wingi katika vita mara nyengine hauna maana yoyote.Kama ni hoja kundi la nyati lisinge simba mmoja tu.India wako wengi ila kama hawajielewi na hao Pakistan ni wabishi sana.
Trust me, hawa watapatanishwa haraka sana, wote hawa wana miliki silaha za nuclear, kuwaruhusu wapigane, mmoja akielemewa anaweza kubonyeza button zisizo ruhusiwa and mara nyingi sana wamekua wanapigana MKWARA baadae mgogoro unatulizwa.India wako wengi ila kama hawajielewi na hao Pakistan ni wabishi sana.