Habari wana JF, nimefanya application ya kwenda kusoma Masters nchini Indonesia kwa kutumia scholarship ya serikali ya Indonesia. Wakati napitia package ya Scholarship yao nmeona currency yao ni ndogo kuliko Tanzania(1 Ind rupee= 0.15 TZS).
Naomba ufafanuzi hapa kwa anayejua
1. Hizi pesa za...
Kimbunga ambacho kimesafiri zaidi ya maili 2,500 katika Bahari ya Hindi kina uwezekano wa kufika Ukanda.
Kimbunga cha Tropiki Freddy kilifika katika Pwani ya Kusini ya Indonesia, mwezi huu Februari na kusababisha dhoruba kutokana na upepo mkali wa kasi ya 165 mph.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema...
Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Indonesia imemalizika kwa kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme, mafuta na gesi.
Makamba kwa nyakati tofauti alikutana na Waziri wa Nchi anayeratibu biashara zinazomilikiwa na Serikali, Luhut Pandiaitan, Waziri wa...
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.
Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.
Uchumba...
Idadi hiyo imeongezeka kutoka 99 ya awali chanzo kikitajwa ni matumizi ya dawa za kifua za Watoto, ambapo mamlaka zimesema uchunguzi unaendelea.
Kuna wagonjwa 241 wa majeraha ya figo katika majimbo 22, wengi wao ni watoto chini ya miaka mitano.
Dawa hizo ambazo zimepigwa marufuku ni...
Moja ya tukio baya katika mchezo wa soka limetokea baada ya askari Polisi kurusha mabomu ya machoni kwa mashabiki hali iliyosababisha mkanyakago na watu zaidi ya 180 wakijeruhiwa baada ya timu ya Arema FC kupoteza mchezo dhidi ya Persebaya Surabaya.
Baada ya mchezo huo machafuko yalianza na...
According to Greenfire Farms, the Ayam Cemani is the "most unique chicken on the planet." It's found in Indonesia and its pitch black color is what's made it famous. Not only are their feathers and skin a dark hue, but their bones, muscles and organs are even black.
Many kinds of chicken have...
Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni.
Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa mamlaka nguvu kubwa ya kulazimisha mifumo kufichua data ya watumiaji fulani, na kuondoa maudhui...
Urusi imesema itakuwepo.
====
The 17th Group of 20 (G20) Heads of State and Government Summit will take place in October 2022 in Bali, Indonesia. Under the Indonesian Presidency, the G20 in 2022 will focus on the theme “Recover Together, Recover Stronger”.
The Leaders' Summit is the climax of...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia
Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku.
Natanguliza shukrani kwa msaada.
There are two reason
First, Indonesia is a sovereign and independent country that can allow or invite whoever it wants into our country regardless of his or her political affiliation or actions.
Second, the G20 is an economic forum, and Russia with its $1.4 Trillion economies are amongst the...
Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili.
Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alikutana na Tri Yogo Jatmiko, Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania katika ofisi za Wizara...
Herry Wirawan (katikati) mkuu wa shule ya wasichana ya Kiislamu aliyepatikana na hatia ya kubaka wanafunzi, akisindikizwa na maafisa wa usalama wakati wa kusikilizwa kwa hukumu katika mahakama ya wilaya ya Bandung, Java Magharibi, Indonesia, Februari 15, 2022. Rafi Fadh / AP
Mahakama moja ya...
A fire broke out early Wednesday morning in a prison in Tangerang, a town west of the Indonesian capital. "Forty-one inmates have died, eight have been seriously injured and 72 have minor injuries," Jakarta Police Chief Fadil Imran told reporters.
Television footage showed fire department...
Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Jakarta umefungua Shule zipatazo 600 baada ya Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko wa COVID19 kulegezwa.
Mamlaka zimesema kiwango cha maambukizi kimepungua kutoka mwezi uliopita ambapo Taifa hilo lilitangazwa kuwa kitovu cha maambukizi ya Virusi vya Corona Barani Asia...
Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa kufunguliwa.
Maeneo ya Ibada na Migahawa itatakiwa kufanya kazi kwa kiwango cha 25% na maeneo ya...
Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa.
Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko.
Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
Flores Mashariki mwa Indonesia ni miiongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mafuriko hayo
Watu wapatao 50 wamefariki kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo kukumba Indonesia na Timor Leste siku ya Jumapili.
Mvua kubwa iliyonyesha katika nchi hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa huku maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.