Infinix smart 8
Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu.
RAM 3GB
Storage 64GB
Battery 5000mAh
Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Asante.
Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf.
Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane.
Nawasilisha.
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.
Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero...
Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
Habari wanazengo?
Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu ilikuwa na asilimia 100% na ilipokuwa inapungua nikawa natumia charge ya infinix lakini tofauti na...
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612.
Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku inaniletea juu ujumbe ninapojaribu kufunguka camera ya nyuma (The damaged is some function are...
Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu.
Yani wao wanachofanya ni kusomba Soc za zamani zilizopitwa na muda ambazo huwa zimepungua bei, Tatizo sio soc za...
Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie.
Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
Niaje
Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera
sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k
hapo ninampango niongezeze 300k ili itimie 700k sasa nataka mnishauri ni mkwaju gani wenye akili timamu...
Simu inauzwa Infinix Hot 10i 64GB
Mali halali, mwenye nayo kapata dharura ana shida na pesa ya haraka.
Price 150k.
Location [emoji625]Dar es Salaam.
0676721372 | 0768315019
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama?
Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.