Wakuu habari zenu,
Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp
Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
Habarini wana jamvi wa JF tech,
Bila kupoteza muda niende kwenye swala langu; kuna infinix hapa inaonekana kuna mtu ameichezea afu kaiingiza safe mode, zile applications zote zilizokuwa downloaded hazipo na kuna kinotification hapo juu kinasema simu ipo safe mode.
Chonde jamani naombeni...
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.
Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.
Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
MAANA YA ku-ROOT
ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
habar mateknishan..baada ya kulazmishwa sana juz nmeanza kutumia hz cm infinix somehow zko vzur bt tatzo lake lko kwenye alarm..ndio alarm mara mbil nzma imenidanganya..nmeiset iniamshe mda flan simu nkaizma bt ikaptlza baada ya kuamka nmekuta neno "alarm missed" 2x imefanya ivo...msaada kwa...
Wakuu heshima kwenu,
Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo.
Msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.