influencers

  1. Mshana Jr

    Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

    Ubunifu kama huu wenye tija Ungelisaidia sana taifa kwenye kipato ajira na mazingira
  2. Waufukweni

    Warembo wawili wa Brazil wafariki baada ya kukataa kuvaa Jaketi za Kuokoa Maisha ili kupiga Selfies katika ajali ya Boti

    Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa jaketi hizo kwa sababu hawakutaka kuharibu mwonekano wao kwenye picha walizokuwa wakipiga kwa ajili ya...
  3. Brojust

    Wasanii wote na watu maarufu (influencers) jiungeni JamiiForums kwa majina yenu halisi au majina ya Biashara zenu

    Shalom watu wa Mungu. Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima. Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na...
Back
Top Bottom