Wakuu naombeni ushauri wenu juu hizi kizi.
Kati y business information technology na information technology ipi ni nzuri zaidi..
naingia degree mwaka wa kwanza (business information technology) pale UDSM na tayari nimeshai-confirm.. but wengine wanasema et information technology ni bora zaidii...
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza...
I'm well experienced, reliable and affordable IT expert, Able to attend calls and work anywhere inside and outside Tanzania.
My customers are Organizations, Institutions, Businesses and Private individuals.
You can hire me for one time job or long term contract
I'm specialized in the...
Habari ndugu,
jina Nicodemus mollel
makazi Arusha Tanzania
maombi yangu nimesoma information technology(IT),ngazi ya cheti nimebase upande wa TECHNICIAN
Natafuta kazi ya IT au yoyote inayohusiana na mambo ya IT
email: nicklasmollel@gmail'com
asanteni
Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu.
Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.