ingekuwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Fedheha aliyopitia Zelensky Whitehouse imenifanya niwaze: Ingekuwaje Ghaddafi angeunganisha bara la Afrika Kisha Marekani ikatangaza vita na bara zima

    Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
  2. Allen Kilewella

    Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  3. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  4. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  5. Braza Kede

    2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

    Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa. Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
  6. ndege JOHN

    Umejiuliza ingekuwaje kama vidole vingekuwa na urefu mmoja

    Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini vidole vyote vitano vina urefu tofauti. Ndiyo maana, “Vidole vyote havifanani
  7. Etugrul Bey

    Ingekuwaje laiti tungeishi katika ulimwengu ambao hatuogopi kujajiwa au kuhumiwa

    Ebu fikiria unaishi maisha ambayo hakuna anayekujaji kwa matendo yako,wala huofii watu watasemaje kuhusu mambo yako,bilashaka ungekuwa ulimwengu mmoja amazing sana. Lakini bahati mbaya sana tunaishi kwa kujajiana sana kwa kila matendo tunayofanya,mfano ukiwa mtoa ushauri mzuri utaambiwa...
  8. GoldDhahabu

    Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

    Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana. 2. Ingekuwa na watumiaji wengi...
  9. GoldDhahabu

    Ingekuwaje kama Josephine Myrtle Corbin angezaliwa Afrika kipindi hicho?

    Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868. Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya viungo vya uzazi uzazi. Madaktari mbalimbali waliomfanyia uchunguzi walibainisha kuwa Josephine alikuwa na afya njema na anaweza kuishi kama binadamu...
  10. F

    Ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita?

    Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je, tungetumia lugha gani shuleni. Kumbuka kingereza bado hakijaingia wakati huo ila Germany kwa maeneo machache. Kabila...
  11. L

    Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

    Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na...
  12. Expensive life

    Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

    Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa. Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima...
  13. D

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu. Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
  14. M

    Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

    leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
  15. Accumen Mo

    Hukumu hii ingetolewa nchi za Kiarabu ingekuwaje?

    Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
  16. Objective football

    Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

    Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo 1. Suka Cv yako sambaza kwenye NGOs na private companies . nakushauri hivi kwasababu kuna kundi kubwa la washkaji...
  17. R

    Kama kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele matukio haya yangefanikiwa bila uwepo wa Mitandao ya Kijamii?

    Wakuu, Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii. Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
  18. Wimbo

    Kama nchi tungeiweka rehani kwa Lissu ingekuwaje?

    Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje. Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi...
  19. mtwa mkulu

    Kwa wanasheria tuu: Advocate Mwabukusi dhidi ya Jamuhuri mbele ya Justice Mwakusanya(as then he was) hali ingekuwaje?

    Karibuni kwa mjadala
  20. Mwachiluwi

    Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
Back
Top Bottom