ingekuwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nazjaz

    Ingekuwaje tungezijua siku zetu za kufa?

    Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua. Ingekuwaje tungejua tutakufa lini? Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari. Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha...
  2. K

    Ripoti ya CAG ni Majonzi, Je angekuwepo CAG wa Uwekezaji na sekta binafsi ingekuwaje?

    WaTanzania wenzangu, ni mawazo tu yanayoingia akilini, wakati tunapofunuliwa yanayofanyika huko ndani ya serikali yetu yanayohusu ufujaji mkubwa wa pesa za wananchi. Huu ni utaratibu unaojulikana, kwamba kila mwaka CAG anatoa ripoti yake kuonyesha ni namna gani serikali ilivyosimamia matumizi...
  3. M

    Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  4. Rebeca 83

    Hivi ingekuwaje?

    Hello JF, Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar... Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something... This means reputation imekwenda.. Sijui ita deal vipi na aftermath Anyway, Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa...
  5. K

    Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  6. Saa kumi na moja

    Ingekuwaje kama...Special Thread

    Ingekuwaje kama... 1. Binadamu akila chakula mara moja halitena mpaka mwisho wa maisha yake 2. Muda wote upo macho hamna usingizi 3. Jua wala umeme haupo duniani 4. Viumbe wote ni jinsia moja 5. Hakuna matajiri wala masikini 6. Binadamu hana tumbo la kuhifadhia chakula 7. Hakuna...
  7. Z

    Askofu Gwajima amehukumiwa kwa mahubiri yake au kama Mbunge? Je, angekuwa siyo Mbunge ingekuwaje?

    Sijaelewa embu nielimishwe Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga. Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake...
  8. Babe la mji

    Hivi ingekuwaje 2015 kama tusingempata Hayati Magufuli kwa nchi ilipokuwa imefikia?

    Nawasalimu ndugu zangu, natumai hamjambo wote. Ndugu zangu sote tunakumbuka ni wapi nchi yetu ilipokuwa imefkia kwa ufupi ilikuwa inaenda shimoni kwa maana kila kitu kiliharibika na alihitajika kiongozi mwenye kaliba ya JPM kuitoa nchi Mahali ilipokuwa. Nani hakumbuki hata viongozi wa upinzani...
Back
Top Bottom