Hello JF,
Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...
Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...
This means reputation imekwenda..
Sijui ita deal vipi na aftermath
Anyway,
Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa...