Leo, Septemba 30, 2026, JamiiAfrica imepata ugeni wa Balozi Mteule wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Teresia Johansson.
Balozi Mteule aliambatana na maafisa wa Ubalozi, wakiongozwa na Bi. Sandra Diesel ambaye ni Mkuu wa Ushirikiano wa Kimaendeleo (Head of Development Cooperation) wa Ubalozi...