Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania watembelea Ofisi za JamiiAfrica

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,249
Reaction score
5,747
Leo, Septemba 30, 2026, JamiiAfrica imepata ugeni wa Balozi Mteule wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Teresia Johansson.

Balozi Mteule aliambatana na maafisa wa Ubalozi, wakiongozwa na Bi. Sandra Diesel ambaye ni Mkuu wa Ushirikiano wa Kimaendeleo (Head of Development Cooperation) wa Ubalozi huo.

Ingrid amejionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na JamiiAfrica pamoja na kupata kuongea na watendaji na uongozi wa taasisi.

Pamoja na Tanzania, atahudumia pia Burundi, Komoro, Madagascar, Msumbiji, Somalia, na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

swe.png
swe1.png
swe2.png
swe3.png
swe4.png
swe5.png
swe6.png
 
Safi sana kiongozi. Hawa ndio aina ya wageni tunaowahitaji zama hizi za nchi yetu kupoteza uelekeo!
 
JF ni NGO?? I have been here for years now na sielewi hawa jamaa wana make adje pesa na hakuna ata matangazo
just asking for good
 
Back
Top Bottom