Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe
Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.
Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.
Sasa huyu...
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
TIBA YA HOMA YA INI NI IPI?
Ndugu zangu, Wanajukwaa wenzangu Kuna Ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na Maumivu ya Mbavu za Kulia pamoja na Kukojoa Mkojo wenye rangi ya Kahawia na Kutokwa na Jasho Jingi wakati wa Usiku.
Baada ya vipimo alionekana ana hepatitis B na Tayari ini limeshaanza...
Zamani ilionekana UKIMWI ni tishio kwa Dunia nzima, kwa dhana kwamba ni lazima mtu atakufa tu.
Siku hizi magonjwa ya ini, mapafu kujaa maji, Figo kushindwa kazi yake yamekuwa tishio sana na yanaondoa uhai wa watu wengi sana hasa vijana.
Sijui sababu kubwa ni matumizi ya pombe au sigara bila...
Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji yatokanayo mwilini kwa mtu alie athirika na ugonjwa huu
Umoja wa mataifa wamesema Ugonjwa huu unaua...
Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
Nimekuwa nikishuhudiwa kuhusu mafanikio makubwa,
Waliyopata,
Kutokana na huu mfumo wa kifedha,maarufu kama VICOBA
Lakini hata hivyo,
Wengine mfumo huu umesababisha maumivu makali kwao,
Na kuwaacha wakilia,
Mfano,
nimekuwa nikipata taarifa toka kwa watu wangu wa karibu,
ambao...
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo.
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano...
Salamu waheshimiwa.
Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021
Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki...
Yajuwe maradhi ya ini na dalili zake
JE! UNAJUWA KUWA:-
Ini ni katika viungo muhimu sana katika mmeng'enyo wa chakula mwilini. Ini husaidia kuondosha sumu za vyakula na katika utunzaji wa glucose ambayo hutumika katika kutupatia nguvu na nishati. Kiungo hiki kinaweza kushambuliwa na maradhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.