Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
Uenezaji wa Injili
Injili ni Nini
Neno injili limetokana na neno la Kigiriki “euaggelion” lenye maana ya Habari Njema. Hivyo, injili maana yake ni Habari Njema. Katika biblia, injili maana yake ni “Habari Njema za Yesu Kristo”. Habari yo yote inayomhusu Bwana Yesu Kristo, kuzaliwa kwake, kuishi...
WAPENDWA katika Bwana
Nawakaribisha ktk mkutano WA injili utakaonenwa na Mwl C. mwakasege
Kuanzia saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jion
Kuanzia Leo tar 26 Feb mpaka 2 march
Itakuwa live upendo tv ..upendo FM...na you tube
Karibuni sana tuongeze Imani ktk maisha yetu
Kiingilio:BURE
Mungu...
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar!
Huwa nawaona, kuwasikiliza na kuchungulia kapu la sadaka na kuona wingi wa coins za 50, 100, 200, na...
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena...
Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza
Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini
1. Rose Mhando hana ndoa
2. Martha Mwaipaja hana ndoa
3 Bahati Bukuku hana...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata
Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu?
Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8).
Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu.
Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu.
Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
Bwana YESU asifiwe wote humu'
Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.
Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.
Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti...
MAKOMA
Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani.
Makoma iliundwa na:
Nathalie Makoma
Annie Makoma
Pengani Makoma
Tutala Makoma
Duma Makoma
Martin...
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu.
Marehemu alikuwa...
Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi.
Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika.
Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
Zamani ukienda sehemu za injili ya Kristo iletayo wokovu ilipokuwa inahubiriwa palikuwa na mvuto na upako kiasi kwamba ulikuwa unataka uendelee kusikiliza.
Shida ilikuwa ni pale walipokuwa wanaita wale waliotayari kuokoka waje mbele ndo vita inaanza ya kukuzuia. Wale waliokuwa wanaishinda ndo...
Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza
Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari
Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
Nimepata kusikia mara kadhaa katazo ama kukamatwa kwa waganga wa jadi kwa kosa la ramli chonganishi. Lakini jambo hili hili linafanywa wazi kabisa na hawa wahubiri wa injili feki kwenye vituo vya redio.
Hii imekaaje? Mtu anapiga simu redioni mhubiri anamwambia anayesababisha matatizo yako ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.