Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana.
Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora.
Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika.
Askofu Malasusa amesema hayo...
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.
Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.
Iwapo...
Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi.
Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali.
Polisi...
Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.
Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu.
Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa
Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
Habari Wana JF
Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence
Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu.
Sasa naendelea na hoja
kama kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.