Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani.
Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza...
EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo.
Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu
Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari
Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari...
Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines.
Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu!
Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege.
Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine)
1.Air inlet
Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
Habari ya Majukumu Wakuu!
Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini.
Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake!
Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake...
Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
Wakuu Salaam.
Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel.
Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili.
Interms of Durability na Performance.
Naombeni Michango yenu.
SABABU ZA INJINI KUCHEMSHA na MADHARA YAKE
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari.
1. Maji ya kawaida haswa yenye chumvi yasiyo na Coolant. Hii inaweza tengeneza kutu ambayo hua kama tope na mwisho kuziba njia za maji katika rejeta yako.
2. Kutofanya kazi kwa feni. Inawezasababishwa na...
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
bei nafuu
benz
biashara
bmw
gari
harrier
inauzwa
injini
japan
karibu
kuagiza
kuagiza gari
land rover
magari
majibu
manual
mayai
mbeya
mitsubishi
nissan
picha
siku
soko
subaru
toyota
usafiri
ushuru
viti
vitz
volvo
waagizaji
wazi
xtrail
Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na utaratibu wa kuongoza na kutawala nchi.
Na genge hilo lina msambao kuanzia ngazi za juu kabisa za...
20 February 2021
Denver, Colorado USA
Ndege moja ya abiria ya shirika la ndege la United Airlines aina ya Boeing 777 mruko namba 328 toka kiwanja cha ndege cha mji wa Dever kwenda Honolulu injini yake moja ililipuka ikiwa angani kiasi cha futi 13,000 (ft) na kusambaza mabaki yake ktk kitongoji...
Juzi kuna mteja alituita kuwa gari yake aliipaki na kuingia kwenye supermarket kupata mahitaji yake. Ila baada ya kurudi kwenye gari haikuwaka kabisa, ingawa taa zilikuwa zinawaka, radio inafanya kazi wiper zinafanya kazi ila stator motor ilikuwa haigoti kabisa.
Tukatuma fundi wetu kwenda...
Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi
Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta na vilainishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, wamehimizwa kutumia vilainishi vyenye...
Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kijani/Blue
2. Njano/Rangi ya machungwa
3. Nyekundu
Namba moja ipo tu kwa ajili ya kukupa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.