Mhandisi wa masuala ya Ujenzi na Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Injinia Germano Barnabas Ngusa ,amejitosa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Nzega Vijijini.
Mhandisi Ngusa alichukua fomu leo Juni 28,2025 majira ya saa mbili kamili asubuhi katika Ofisi za Chama...