Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mhandisi wa masuala ya Ujenzi na Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Injinia Germano Barnabas Ngusa ,amejitosa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Nzega Vijijini.
Mhandisi Ngusa alichukua fomu leo Juni 28,2025 majira ya saa mbili kamili asubuhi katika Ofisi za Chama Cha CCM Nzega Mkoani Tabora.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika zoezi hilo la uchukuaji wa fomu Mtia nia huyo alionekana akichukua fomu kimya kimya bila kuongea na Wanahabari kufuatia chama hicho kutoa marufuku ya watia nia kufanya shamrashamra.