instagram

  1. Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  2. Kwa wazazi , mtoto wako mfungulie Account Facebook ,instagram , twitter akizaliwa tu.

    Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu. Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
  3. D

    Account yako ya Instagram imekuwa hacked mpaka sasa sijaelewa imehackiwa kwa style gani

    Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali namba ya simu ambaye kimsingi nilishaipoteza so kama hata kutumiwa link zingeenda kule kwenye hiyo...
  4. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  5. Biashara noma sanaa, unataka kujiona hufanyi kitu kwenye biashara? Ingia Instagram cheki biashara za wenzako..!!!

    INTRODUCTION:- Wananchi salamaa? Wale wanayanga wenzangu tusijali TUTAVUKA BILA CALUCULATOR zao..!!! BODY:- Ukiachana na utumishi wa umma, Mimi bwana ni mfanyabiashara ninaye miliki kampuni inayofanya biashara aina tatu tofauti. Ashukuriwe Mungu mauzo kwa siku hayawi chini ya Mil 2 kama siku...
  6. Msaada: Nashindwa kuingia kwenye Akaunti yangu ya Instagram

    Habarini. Naomba Msaada Nilingia Akaunti ya Instagram nambiwa hivi.
  7. Je, Tanzania inataka kuchapisha pesa mpya hivi karibuni? Instagram Algorithm imetushtukia

    ‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni. Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
  8. Pata QR Code za Instagram au biashara yako

    QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida. Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu...
  9. Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  10. Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
  11. Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  12. Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

    Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi. Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya...
  13. Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  14. "Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

    1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili. 2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
  15. Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  16. Msaada: Instagram verification badge

    Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later. Naomba msaada kwenye hili wana JF. Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate blue tick inaniletea hiyo sms.
  17. S

    Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

    Wasalaam wapendwa. Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo. Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako". Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi...
  18. Instagram page ta TRC imedukuliwa?

    Mbona haipatikani. Kwa wajuzi tafadhali?
  19. M

    List ya vijana 10 Tanzania waliobadilishwa maisha na ujio wa Mtandao. Bando zao zimewapa maisha mazuri

    Habari wadau. Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube. Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…