Habari waungwana,
Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo.
Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...