Location: Shinyanga, Tanzania
Overview
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic Development, Civil...
Ni kwa uhakika uliowazi kuwa kwa sasa Bodaboda waliowengi wanatembeza piki piki zao kinyume na sheria za usalama barabarani. Wengi wao hawana leseni Na mbaya zaidi hawana hata third party insurance. Kwa mtazamo wa juu juu nafikiri huu ndio usafari unaotumiwa Na wasafiri wengi, iwe mijini au...
Wana Jf nahitaji msaada wa mawazo yenu kwa wale wazoefu wa hizo courses..
Nimechaguliwa Course ya Insurance and Risk management "IFM",, But Nina wazo la kubadili niende Accountancy.
So kwa wanao fahamu Course nzuri na yenye ajira kidog kati ya hizo mbili nahitaji msaada wenu!!
Habari za leo wakuu,
Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu
Mimi natumia hiyo bima na nilipata ajari mwezi wa 12 - 2019 na mambo yote ya kesi yakaisha mwaka huu January.
But mpaka leo October hiyo bima haijalipa kitu chochote.
Waliagiza fundi wao akaja...
Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa.
Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto...
Insurance Business Development Manager
*Position location to be determined by home country of successful candidate within a jurisdiction (country or US State) where VFI is registered to operate.
Organisational Background:
VisionFund International (VFI) is the world’s largest Christian...
Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no. 11 of 1969.
It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary Government of...
Habari za mchana waungwana,
Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA
Tumeona kuna taasisi...
Jubilee Insurance Company of Tanzania is a top ranking insurance company operating in Tanzania. They wish to recruit the following personnel for their head office in Dar Es Salaam.
GENERAL MANAGER TECHNICAL- RE ADVERTISED
To be responsible for underwriting, claims and reinsurance for the...
Kingdom’s Business Company limited (KCBL) is in the Process of Establishing a University in Mwanza City-Tanzania and one of required pre-requisite is to have the required caliber of academic staff.
We hereby invites applications from suitable and qualified individuals from all over East Africa...
Company: Britam Insurance Tanzania
Location: Tanzania
State: Dar Es Salaam Jobs
Job type: Full-Time
Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania
Job Purpose and Key responsibilities
The role holder will be responsible for processing and payment of general insurance claims. The...
OPPORTUNITIES
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA
We are an established business with a rich 18-year history, focus on modernizing insurance sales and customer service by providing our team with the best and most up to date technologies
Be your own boss and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.