Kwa mshangao mkuu, ni kama dunia nzima imepigwa upofu, watu wanataharuki, ni nini mustakabali wa mwanadamu ili hali kuna akili mnembe?
Nakuambia wewe kizazi cha nyoka, AI haiwezi kufanya kazi kama haijawa programmed na binadamu, itafuata algorithm zile zilizotengenezwa na mwanadamu
Mwanadamu...