Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts)
Background
University of Dar es Salaam (UDSM) and the Kuhne Foundation (KF-TZ) have partnered to implement initiatives for a four (4) year SAFA...
Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship jnicc upoje ?
Habari zenu wana JF.
Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam.
Niko hapa kuwaomba mnisaidie nafasi ya Internship kwa wenye kampuni, connection au mnaofahamu mahali...
Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile...
Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu..
nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya...
Habari wakuu
Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema
Chochote haswa kwa watu wa administration
Mimi nilifanya mafunzo ya internship nikiwa kama daktari katika hospitali ya Lugalo kuanzia Nov 2021 mpaka Nov 2022. Hospital ina utaratibu wa kulipa call allowances kwa madaktari na nurses wanaokaa shift za usiku kila mwezi. Ajabu iliyoje miezi miwili ya mwisho yaani September na October 2022...
Habari...
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hii🙏.....
Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University of Agriculture), with Bsc. Environmental Sciences and Management (recent graduate).
Niko hapa...
Internship for Tanzania Private Sector Strengthening Project
The USAID-funded Feed the Future Tanzania Imarisha Sekta Binafsi (Private Sector Strengthening) project in Tanzania, implemented by Tetra Tech International Development (International Development Jobs – Tetra Tech), is currently...
Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote .
Asanten
habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship iwe kiwandan au migodoni kote nafany as quality controller, lab scientist and chemist.
mwenye kujua...
Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani katika kazi yake ili apate soko katika ajira kirahisi.
Hapa tanzania tuna taasisi inayowasaidia...
Are you ready to dig deep into the world of agriculture and consulting? Join our internship program and cultivate your skills with us! We’re on the lookout for passionate recent agricultural graduates to join our dynamic team.
Whom are we looking for:
Bachelor’s degree in Rural Development...
Anahitajika mdada mwenye ujuzi wa wa IT
Kwenye nyanja zifuatazo:
1. Graphics design
2. Microsoft package
3. Networking design and implementing
5. Social media marketing
6. Good customer care
Nicheki chap inbox
Habari za muda huu wakuu.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.
Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.
Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Habarini wakuu, ninasoma DIT, Bachelor's degree in mechanical engineering, mwaka wa tatu. Sasa hivi tupo likizo, tumetumia karibu week 6 zimebaki week 3
Nilijaribu kuomba internship kwenye viwanda vingi pale Mikocheno industrial area, lakini nilikosa sababu ni kutokuwa tayari kwa viwanda kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.