Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi.
Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki.
Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez kulisema jambo hilo.
Wanaume tunapitia mengi sana kiasi kwamba kuna wakati unahitaji mtu wa kukaa...
Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:
1. Ni mkimya sana mpaka nakera. JF ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.