Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.
𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗳𝘂𝗽𝗶 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟲 𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼:
🔘 Mwonekano mpya
🔘 Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki!
Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea.
Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September.
Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
Kampuni ya Apple itaachia ios 15.4 itakayokuja na vipengele vingi na kimojawapo ni sauti ambayo huwezi tambua kama ni ya kiume au ya kike kwenye Siri.
Msemaji wa Apple amekiri kuwa waliajiri mwanachama kutoka LGBTQ arekodi sauti inayojulikana kama American 5 ili kuunga mkonl juhudi za hao watu...
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya
Mobile Application
Desktop Application
Website
Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo.
Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
Salaam Wadau,
Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?
cc: Chief-Mkwawa
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.
Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.
Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani...
Programu tumishi ya mawasiliano ya Whatsapp haitafanya kazi katika baadhi ya simu kuanzia mwaka 2021, baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti.
Programu hiyo haitafanya kazi katika simu za Android zinazotumia toleo la 4.0.2 au ndogo zaidi ya hiyo, na kwa simu za iPhone zinazotumia toleo la 9 (iOS...
Messaging app, Telegram has launched one-on-one video calls for Android and iOS. The company announced the new development noting that 2020 had highlighted the need for face-to-face communication.
Telegram announced the news through a blog post which also celebrated its seventh anniversary. To...
Habari wanajamvi,
Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder
Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa kama unaweza kusaidia katika hili, tuonane inbobo.
Asanteni, na jumapili njema
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI
Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps bila mpangilio kama jiko la bachelor
unatumia theme gani,unatumia wallpapaper gani
Pigeni screenshot...
Habari, leo nimenunua kitochi janja kiukweli kipo simple na kinacover mambo mengi compare na kitochi jinga cha nokia, ili nikifahamu vizuri ilibidi nimeweka smartphone langu kubwa kwenye droo na kwakweli sijalimiss sana..Ila Kwenye hili pilau pendwa kilichomiss ni jamiiforums app, ingependeza...
My Macbook Pro doesnt boot, it keeps restarting, giving me a silly message that "Your computer restarted because of a problem. Press a key or wait a few seconds to continue"
I have done all of the above but still it keeps restarting. Kama kuna mjanja ana solution naomba aniokoe.
Nauza Samsung NX30 camera system .
camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap.
Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha
Samsung 18-55mm f/3.5-5.6 OIS III
Samsung 50-200mm F4-5.6 ED OIS III
Samsung 30 mm f/2.0 is pancake lens
External...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.