Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Apple Iphone 13 pro 128 GB
•Face id✅
•Battery health 81
•Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked)
Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi
Price 950,000/=
Kimara Dar es salaam
0757187238
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!
Kama uko Songea pia itapendeza zaidi, uje uione mwenyewe
Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao;
1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama...
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo.
Kampuni hiyo ya...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store).
Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...