iphone

  1. H

    Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui. Naombeni uzoefu wenu jamani.
  2. Technophilic Pool

    Simu yangu ni iPhon Xs Max, inashindwa kuinstall hii new update

    Simu yangu ni IPHONE Xs Max Storage 64 Lakini nashindwa kuinstall hii new update New update ni IOS 17.5.1 Uki install inaleta Error Shida ni nini?
  3. Technophilic Pool

    We are not men if we get defeated by country ruled by women ~Balotel

    Hii ilikua ni kauli ya balotel nchini Ujeruman
  4. Technophilic Pool

    AI /CHAT GPT gani ni free kwene IOS /iphone?

    Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free? Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser ZINGINEZO 1.https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-artificial-intelligence-whatsapp-chat-bot.2180158/
  5. Chance ndoto

    Phone4Sale iPhone 13 Pro

    Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
  6. Wilhelm Johnny

    Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18 IOS 18 is out now
  7. The bump

    INAUZWA iPhone 13 PRO inauzwa 128 GB

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  8. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  9. biznes_dealz

    Phone4Sale Tunauza iPhone 6, GB 64

    Hii simu nitaiuza hapa kwa bei ya kutupa ya Tshs 200,000 tu. Mikoa yote ya Tanzania tunatuma. Piga 0742786967
  10. Andazi

    Iphone 7 plain i cloud lock

    Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga Nikafanikiwa kuibypass ila shida network haisomi na pia ukiizima ikiwaka inalock tena Wadau mwenye...
  11. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  12. Replica

    Mauzo ya simu za iphone yashuka duniani

    Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na kampuni hiyo ya mawasiliano, ambao umebaini mahitaji ya wanunuaji yameshuka katika sehemu zote duniani...
  13. municaster

    KU BYPASS IPHONE 13

    Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
  14. BARD AI

    Hivi TBS inafanya kazi gani kama Wafanyabiashara wanaingiza 'Bidhaa Fake' na kutangaza waziwazi, iPhone 15 Tsh. 380,000?

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza Bidhaa Feki kila mahali na wanauza kwa uhuru kabisa. Imagine mtu anatangaza kabisa iPhone 15 Pro ni Tsh...
  15. BENEDICT ISEME

    INAUZWA IPhone Original Chargers

    IPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable 35,000/= Rejareja 16,000/= Jumla Free delivery ndani ya Dar es Salaam Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911
  16. BENEDICT ISEME

    INAUZWA iPhone Complete Fast Charger

    Fursa ya ajira Hata kama huna mtaji leta mteja kwa bei yako, cha juu ni cha kwako iPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable Zipo pis 100 tu 16,000/= Rejareja 14,000/= Jumla (Kuanzia pis 10) Tabata Aroma 0653776099
  17. M

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Habari za jioni Wana JF, Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni. Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu. Mimi si...
  18. Friedrich Nietzsche

    Naombeni Msaada kutumia Siri(AI) wa iphone

    Aisee mi siwezi kutumia hiki kidude wanachokiita SIRI (AI)…
  19. L

    Iphone X kwa bei ya 485,000 used from dubai

    Karibuni boss zangu. Iphone X zipo za kutosha tupo kariakoo .storage 64gb,256gb . Kwa mawasiliano piga 0695022051 Whatsapp 0734123440
  20. BARD AI

    Tetesi: iPhone 16 itafanana mwonekano wa Camera za Samsung S24

    Apple has just launched the iPhone 15, but the rumour mill is already churning for the iPhone 16. The series is expected to bring significant upgrades and improvements compared to its predecessors. Speculation suggests that there will be enhancements in camera performance, display, a more...
Back
Top Bottom