Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X. Toleo la Beta ya kwanza ya iOS 17 itapatikana kwa wanachama wa Programu ya Apple kwa majaribio...
Wakuu mambo vipii
Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania...
Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo:
Iphone 7 plain
32 Gb
Ram 4
Battery 100%
280k price, fixed...mawasiliano ni haya 0621599120
Wakuu inakuaajee
Nataka nichukue Mali moja kati ya hizi zote naztaka lakini nataka nichukue moja tu naombeni ushauri ipi nipite nayo kati ya Samsung S10 plus au iPhone X plain
S10+ ram 8gb internal 128gb bei ni 400,000 used
iPhone X plain ram 4gb internal 64gb bei ni 550,000 used
NB...
Wakuu
Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+
Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk
Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone
Anyway binafsi Samsung nazchukuliaga ni zakibaba Ila iphone ni za vidada
Labda kwanzia 11 kwnda juu hzo n zakibabee
Oky...
Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022
Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7.
Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G.
Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
iPhone XR 128gb clean no problems , True Tone na Face ID . Battery 89% charge full day ni wewe .
Price : 500k
Reasons for sale : upgrade Ila ni simu nzuri Sana
Comes with og usb charge
Location : tanga Mjini
Dar : Monday
First come first served . Sina siasa
Pics : i will upload.
For...
Wakuu katika kutafuta kioo cha iPhone xr online nikakutana na hii Aina mpya ya kioo inaitwa OEM Na bei yake imechangamka kidogo kuliko OLED.
Naombeni msaada wa aina ya hicho kioo kabla sijanunua.
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha...
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update.
Nachotaka kujua,
Process ya updating inatumia GB ngapi?
Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public?
Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.