Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo.
Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu.
Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi.
Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu.
Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu.
Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata...
Ni wiki mbili tu zimepita tangu iOS 16 itoke lakini watumiaji wengi sana wanalalamika kuisha charge haraka na Battery Life inazudi kushuka katika zile asilimia.
Asilimia 63% ya watumiaji wamelalamika Battery kuisha charge haraka na battery life kushuka. Pia ukilinganisha na iOS 15, mfumo wa iOS...
Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China.
Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
Ni huko kwa wanaijeria.
Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding.
Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member.
Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP.
Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP.
Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani.
Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana.
Congrats 👏...
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.
𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗳𝘂𝗽𝗶 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟲 𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼:
🔘 Mwonekano mpya
🔘 Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki!
Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea.
Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September.
Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China.
Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni...
Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max.
iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano.
🔘 Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi.
Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya.
Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo
Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices
Apple Inc. is aiming to hold a launch...
Nauza iPhone 8 Plus, 64 GB, simu ipo Dar es salaam. Bei ni 389,000 tshs.
Negotiable.
Kama unahitaji nicheki hapa au dm. Unaweza pia kunicheki
Whatsapp: +8619974300439
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.