Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa.
Mtindo huo mpya utakua kwenye simu za Pro ila nyingine zitabaki na notch. Kwenye design ama mitindo...
iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni na itakuwa na chip mpya ya iPhone.
Apple imeamua kuchukua hatua ya kusitisha design ya iPhone mimi na kuweka focus katika iPhone SE mpya ambayo itakuwa na chip ya A15 Bionic (chip inayotumika katika iPhone 13).
Apple inalenga soko...
Apple inaacha kutengeneza iPhone mini na katika iPhone 14; haitatengeneza iPhone mini size ya inch 5.4.
iPhone 14 zitakuwa na size ya 6.1 inch (size ya iPhone ya kawaida na iPhone Pro ndogo) na size ya inch 6.7 (size ya iPhone Pro Max).
Ilikuwa 2010 enzi hizo ninauza iphone 3 Gs yangu kupitia mtandao wa gazeti la Advertising Dar, jamaa moja kapiga simu anadai yeye anafanya kazi Barclays Mbeya yupo likizo Dar. Sharp tukapatana bei laki sita basi jamaa tumepanga tukutane Mwenge.
Kufika mwenge jamaa katokea na teksi akadai twende...
Nawasalimu kwa JMT
Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+.
Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
They are doing it again!
WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android.
Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa.
Pia niulize...
Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli.
Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone...
Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili...
Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD
app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele
Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo...
Nauza Samsung Galaxy S8 Edge
Ina 4GB Ram
64GB Storage
Battery health 100%
Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake.
Haina crack wala mchubuko wowote.
Imetumika miezi 2.
Bei 390,000 maelewano yapo.
Contact 0623464795
Refer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Nina shida ya pesa
Iphone X
Ina wiki 2 tu.
Gb 64.
B.Health 100%.
Face id.
Truetone.
Nina shida na pesa.
Box lipo.
Charger na earphones zipo.
Kiufupi mzigo ni mpya.
Bei maelewano.
Number.
0683011003
With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a low-power state and acts like an AirTag, allowing any nearby iOS device to pick up the Bluetooth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.