Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi.
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +...
China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China.
Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake.
Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, 📷 yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya.
Product za...
IMEI NUMBER NI NINI?
IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha
vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet.
Kwa simu zenye sim card...
Nauza Iphone 7 Plus 32 GB - USED.
Kama mpyaa.. kila kitu funciton as new
95% Battery Health
Price: IMESHAUZWA
Location: IMESHAUZWA
Contact : IMESHAUZWA
Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi?
Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB
Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili
Achana na suala la chaji na...
Brackberry moja ya kampuni iliyouza smartphones kwa sehemu kubwa ya dunia. Unaikumbuka app ya BBM ilivyokuwa inaelekea kuipeteza facebook.
Ilifika hatua brackbeery ilikuwa na marketshare ya zaidi 50% marekani na 20% duniani, unajua ukiliteka soko la US kwa kiasi hiki basi hata huko kwingine ni...
Wakuu Poleni na mfungo wa maombi ya kitaifa. Leo siku ya pili,na mimi sijawaangusha mana naomba haswaa. Tanzania bila corona inawezekana.
Nije kwenye mada: Nimebangaiza vijisenti kwa muda nikaona bora na mimi nijitutumue ninunue japo iphone 7 walau kubadili radha ya hizi tecno za siku zote...
Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone.
Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE.
Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu kulinganisha na matoleo mengine ya hivi karibuni. Bei yake ni $399.
Hii bei ni kubwa kwa sisi watumiaji wa...
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa ikitoa software updates ambazo zitafanya aina hizo za simu kufanya kazi taratibu kuliko uwezo wake ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.