Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED.
Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivyo. Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa.
kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto kaa na chaji na blaa blaaa kibao.
Juzi jamaa kaniomba ushauri juu ya iphone 7 plus kuwa anataka...
Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri. Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata Dar.
Asanteni.
NEW YORK: Demand for the iPhone and other Apple products drove profits to more than double in the January-March period as the tech giant continued to capitalise on smartphone addiction.
Profits came to US$23.6 billion, or US$1.40 per share, while revenue climbed 54 per cent to US$89.6 billion...
Habarini Wadau
Nina hitaji kununua hii simu kutoka kwa Muuzaji yeyote aliyepo Dar, iwe Mpya Kabisaa. Mimi nipo mkoa tofauti na DAR. Lengo hapa nikujua ni Muuzaji gani naweza kumtafuta instagram ambae ni wa kuaminika na simu zake hazina magumashi.
Muuzaji ambae atapendekezwa na wengi bila shaka...
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo
iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida bila kujua email wala password)
iPhone Disabled/Passcode (Kama uko na iPhone haujui passcode zake...
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu...
Programu tumishi ya mawasiliano ya Whatsapp haitafanya kazi katika baadhi ya simu kuanzia mwaka 2021, baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti.
Programu hiyo haitafanya kazi katika simu za Android zinazotumia toleo la 4.0.2 au ndogo zaidi ya hiyo, na kwa simu za iPhone zinazotumia toleo la 9 (iOS...
Nina iphone 8 nimenunua kwa jamaa yangu yupo mbele na alisahau kufuta icloud acc, naomba msaada ufuatao
Iphone naitumia lakini ina Apple acc ya mshkaji.....kuna mambo siwezi fanya bila password ya icloud.
Inawezekana mshkaji akaingi kwenye acc yake ya icloud online kwenye itunes au website na...
Nimeona review simu hizi mpya za iPhone 12 kuwa hata ukichukua kioo ukakibadiisha ukakiweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo, kwanza ukiiwasha haitowaka unless uiwashe kwa kuplug in charger.
Ikishawaka itakuletea msg kuwa umeweka kifaa ambacho siyo cha simu hiyo, face id haitofanya kazi na...
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.
https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
Wasalaam,
Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!
Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake...
Habari wandugu,
Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc.
Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani baada ya kuondoa iweze kupokea latest ios update na pia waweza reset.
Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.