iphone

  1. chadog

    Phone4Sale Inauzwa iphone 14 PRO MAX copy,na AQUOS 701 SH USED

    IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
  2. JanguKamaJangu

    China: Soko la iPhone lashuka kwa 24%

    Mauzo ya bidhaa za Kampuni ya Apple (iPhone) yameshukwa kwa kiwango cha Asilimia 24 ndani ya wiki sita za kwanza tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2023, hiyo ni kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Counterpoint. Imeelezwa ushindani mkubwa wanaupata kutoka kwenye kampuni za wazawa wa China...
  3. AY 5225

    Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza kunitunuku hata ka 12 kwa bei hiyo hiyo kama offer. Be it as it may, nipo Unguja rn ila nitakuwa Dar...
  4. kali linux

    MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion. Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software. Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila...
  5. kali linux

    SOLD: Nauza iPhone XS Max Gold, bei ya kutupa

    Hello bosses and roses... Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%. Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi. UPDATE. ======== SOLD
  6. Chance ndoto

    Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  7. Gol D Roger

    Kumbe baadhi ya viduka vya iPhone vilivojaa mjini ni center za ku-push madawa na bangi

    Heri ya mwaka mpya. Hii kitu nilishawahi kuambiwa na mtu flani nikapinga, nikasema maybe huyu jamaa ana chuki na wivu na jitihada za vijana wajasirimali. But baada ya kufikiria zaidi, it made so much sense, but sikuwa na uhakika 100% Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji tunapiga story...
  8. Fabian Vitus

    Iphone unvailable

    Habari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim haiwezi function isipokua mtu akinipigia napokea kama Kawaida iphone 7plus ni hivo tu kama...
  9. BICHWA KOMWE -

    Kwanini iPhone zimekaa kikike kike?

    Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani. Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika. Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu...
  10. Maleven

    Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

    Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu, Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android. 1. Number row on keyboard hamna. 2. Text massage app yao huwezi ku schedule message 3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly...
  11. African Geek

    Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

    Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones). Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia. Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
  12. KingOligarchy

    Jinsi ya kununua iphone 15 pro max

    Greetings wana Jamii forum, Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick question is Can u afford it. i will make an assumption that it cost 5,000,000 per 1 piece. inawez...
  13. masai dada

    Iphone 15 original

    Jamani, Ni duka lipi? lenye hii simu mpya original kabisa nalitafuta?
  14. K

    Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  15. Kilimbatzz

    Naomba bei elekezi ya iPhone 15 plus 128GB

    Baada ya kutumia Samsung muda mrefu nimewiwa kujaribu na iPhone. Ningependa kuanzia na iPhone 15 Plus yenye GB 128 Nataka nioneni nini kinachofanya wadada wachizike na hizi simu,nataka nione ni nini kinachowapa mvuto wanaume wanaotumia simu hizi hadi kuweza kuwang'oa kirahisi wadada wa kibongo...
  16. Kaka yake shetani

    Iphone kwa Sasa imejikita na camera zaidi kwa toleo la 15

    Yani toleo jipya la iphone lilozinduliwa usiku wa Afrika Mashariki tarehe 12 mwezi wa 9 sijaona la maana zaidi ya kueleza ubora wa kamera tu. Simu nyingi zinapoteza soko zikidili na kamera tu
  17. emmarki

    Nahitaji iPhone XR au Xs max

    Nahitaji iPhone XR au Xs max, simu iwe clean
  18. The Assassin

    Apple yakubali yaishe, Iphone 15 inayotoka wiki ijayo kuja na charger ya type C

    Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
  19. black-tz

    Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
  20. JF Member

    Msaada: iphone 11 promax imeibiwa

    Msaada jamani. Simu imeibiwa. Nifanyeje niipate?
Back
Top Bottom