Kuna watu huwa wanachanganya sana haya maneno. Kwamba ni ipi tofauti ya maneno Suluhu na Sare?
Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Maneno yote haya mawili yanazungumzia matokeo katika mchezo ambayo ni ya bila kuzidiana, matokeo ambayo ni sawa. Yaani, timu moja na nyingine kuwa...