ipi

  1. M

    Je ni course ipi asome

    Kuna dogo mmoja amehitimu diploma ya laboratory technology pale DIT, je anaweza kusomea degree ya medical laboratory? au ni course ipi nzuri anaweza kusomea?
  2. B

    Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
  3. Kijakazi

    Awamu ipi ilianzisha kuwalipa Wabunge kwa kuja Bungeni?

    Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata. Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete ?
Back
Top Bottom