Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba
Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka….
Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi...