Dr. Zack ✍️
👉 1. Vita vilianza kuongeza gharama kubwa za kijeshi kwa Marekani.
👉 2. Bei za mafuta duniani zilianza kuathiri uchumi wa Marekani.
👉 3. Mlango-Bahari wa Hormuz ni muhimu kwa biashara ya dunia.
👉 4. Marekani ilihitaji kurejesha utulivu wa soko la nishati...
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran, Kamal Kharazi, amejeruhiwa vibaya kufuatia kile kinachoonekana kuwa jaribio la kumuua, huku mke wake akiuawa katika tukio hilo, wakati mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea kuishambulia Iran kwa wiki ya tano mfululizo.
Vyombo vya habari vya...
Iran imemnyonga mwanaume mmoja aliyekuwa akituhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel, kwa mujibu wa shirika la habari la Mizan, ambalo lilimtaja kwa jina la Kurosh Keyvani.
Mwanamume huyo alipatikana na hatia ya “kuipatia shirika la ujasusi la Israel, Mossad, picha na taarifa kuhusu maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.