Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu
Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya kutosha nchi kama 30 zilienda kumsaidia kuanzia angani, baharini na nchi kavu.
Pili, Iran katumia...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York.
Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi...
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN
Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran
Taarifa kamili zikipatikana muda...
Peace,
Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na Israel vinginevyo Iran itazishambulia pia.
---
Iran and its allies threatened retribution on...
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.