iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Iringa: Karani wa sensa afukuzwa kwa ulevi

    Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe. Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
  2. D

    Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
  3. Waziri asema kiwango cha udumavu kwa Watoto Mkoani Iringa ni 47%

    Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
  4. M

    Kiwanda cha mikanda ya gypsum Iringa

    Habari zenu wana JF? Naomba niende kwenye content moja kwa moja tunaitaji mshirika kwaajiri ya kuendeleza kiwanda chetu cha mikanda ya gypsum ambaye tutamuuzia share kwenye kampuni yetu kilingana na uwekezaji wake kiwanda uzalishaji unaendelea ila tunataka tuongeze nguvu tuwafikie watu wengi...
  5. Ni fursa zipi zipo Iringa Mjini?

    Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa. Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa mjini kunisaidia kujua fursa yoyote inayopatikana hapa Iringa mjini itakayoniwezesha angalao mkono...
  6. TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  7. Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

    Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!! Mada husika👇🏾 Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza) Swali!👇🏾 Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi...
  8. Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu, Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu, Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu Lakini wizara ikawatupa Iringa...
  9. Abbas Max na historia ya TANU Iringa, 1955

    ILIPOKUWA NYUMBA YA ABBAS MAX MUASISI WA TANU IRINGA Hapa ni Iringa sehemu nayojulikana kama Makorongoni. Mtaa huu ni Mtaa wa Pangani. Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Abbas Max (1918 - 1993) muasisi wa TANU. Nimepata kuandika historia ya Abbas Max na niliandika maneno haya, ''Abbas Max...
  10. Iringa: Dereva Bajaji atupwa Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10. Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
  11. Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  12. Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
  13. Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  14. Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
  15. R

    Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  16. B

    Mch.Peter Msigwa amelegeza masharti Chadema imenyanyuka na Rose Mayemba kudhibiti upepo usitetereshe chombo ukanda wa Iringa

    Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na kulifanyia kazi, wameona ishara kwamba wasimtegemee Sana Bali waendeleze mapambano ya Katiba mpya...
  17. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  18. Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria...
  19. Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    "Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…