Wakuu mambo vipi?
Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye Ruvuma.
Sasa nataka nijue kwa wale waliotembelea maeneo hayo, hasa Iringa, ni sehemu gani nzuri...