israel

  1. Webabu

    Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  2. Kingsmann

    Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

    Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
  3. U

    Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans Officials say approaches also made to...
  4. Top Gun

    Hivi kwanini UN iko obsessed sana na Israel?

    Hawa jamaa wako kimya na yanayoendelea syria angali washia na wakristo kuulia ila wako bize kutafuta hadi sisimizi alieingia gaza kutoka Israel. Hadi leo hawajakamata hamas kwa ukatili walioufanya ila wanahangaika na Israel aliyejibu mashambulizi. Eli Cohen Judah Tribe
  5. U

    Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni juhudi za kuongeza shinikizo kwa eneo hilo, ambapo mateka 59 waliotekwa kutoka Israel bado...
  6. green rajab

    Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

    LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia 🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
  7. Sir John Roberts

    Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

    Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita. Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west...
  8. Echolima1

    Kiongozi wa magaidi wa Hamas auwawa. Na askari wa Israel huko Jenin

    Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa. .Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa mara walikuwa wakipigana na wenzao wanaoongozwa na Serikali ya Mahmoud Abas. Israel imekuwa ikiingia...
  9. Echolima1

    Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
  10. Ritz

    Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

    Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
  11. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu atoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka...
  12. Eli Cohen

    Jamaa anaisanifu Israel eti wananchi wake wanaandamana kumpinga Benja. Anasahau kuwa wananchi wanafaidi uhuru wa kujieleza ambacho uarabuni ni nadra

    Kuna jamaa kaandaa chapisho humu kifua mbele. Itikadi kali nishawaambia kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia hii ni nyie na itikadi yenu. Mnamchumchukia netanyahu maana amewaanyoosha kisawa sawa ndugu zenu. Mnasahau kuwa hata great leaders wanapingwa na kwa nchi zilizowastaarabu na utu...
  13. sanalii

    Syria is going to be divided, not less than three parts, and the winner is Israel

    The obvious groups will be Druze state, Kurdi state and what will remain as Syria, may be. The threat for the Shia military group is high and very obvious to also form their own part. The winner of all this is Israel, he will grab more land under the claim of "buffer zone". I do think of...
  14. U

    Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi ya Hamas Majenerali hao ni pamoja Oded Basyuk anayeongoza idara ya mafunzo, Tomer Bar anayeongoza...
  15. T

    Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  16. Mlaleo

    Hamas Wajuta wanasema wangujua haya matokeo dhidi ya Israel wasingevamia October 7th

    Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa Abu Marzouk alisema hangeunga mkono uvamizi na mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel...
  17. Ritz

    Mateka wa Israel’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili

    Wanaukumbi. Fromer Israel ‘mateka’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili. Noa Argamani anaelezea wakati ambapo jengo alilokuwamo Itai Svirsky na Yossi Sharabi liliporomoka, likiwaweka chini ya kifusi, wote wawili waliuawa...
  18. U

    Kamanda mwandamizi hamas wajuta kufanya shambulizi Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel , matokeo yake yamekuwa mabaya na wapo tayari kusalimisha silaha

    Wadau hamjamboni nyote? Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel...
  19. Echolima1

    Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  20. Ghayo TheMongo Barbarian

    Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

    Mzuka wana jamvi... Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.
Back
Top Bottom