israel na iran

  1. Financial Analyst

    Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa kupigana kwa Israel na Iran ni mpango wa Mungu kuwapa ushindi Hamas. Msipende kumhusisha Muumba na vituko vyenu

    Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu. Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto? Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas? Washamba kwwli nyie
  2. U

    Ndege za jeshi la Israel zafanya mashambulizi makali nchini Syria kwenye miji ya Aleppo na Idlib na kuleta madhara makubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Wanajeshi kadhaa wa Syria walijeruhiwa kutokana na "shambulio" la anga la Israeli karibu na mji wa Al-Safira, nje ya Aleppo na Idlib, vyombo vya habari vya serikali viliripoti mapema Jumamosi. Shambulio hilo lililenga maeneo kadhaa vijijini nje ya Aleppo na Idlib...
  3. bahati93

    Vitu walivyoshuhudia makachero wa Uajemi kwenye kambi za Ugiriki.

    Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi. Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi, ilikuwa hivi siku moja kabla ya mtanange majenerali wa Uajemi ( Iran ya sasa) wakatuma makachero...
  4. Mnyenz

    Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

    Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili. Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja. Inasemekana kuna intelligence agency mmoja chawa upande wa us amezivujisha habari hizo. Bado haijajulikana...
Back
Top Bottom