israel vs hamas

As of 17 July 2024, over 40,000 people (39,145 Palestinian and 1,478 Israeli) have been reported as killed in the Israel–Hamas war, including 108 journalists (103 Palestinian, 2 Israeli and 3 Lebanese) and over 224 humanitarian aid workers, including 179 employees of UNRWA.
The vast majority of casualties have been in the Gaza Strip. The death tolls reported by the UNOCHA come from Gaza Health Ministry (GHM). The casualty total includes all reported deaths, while the demographic breakdown uses only casualties with associated identities. The GHM announced on 30 April, 2024 that 24,686 casualties had been specifically identified through hospitals, family members, and media reports; of these, 52% were women and minors, 43% were men over 18, and 5% were not identified by age or sex. The GHM count does not include those who have died from "preventable disease, malnutrition and other consequences of the war". An analysis by the Gaza Health Projections Working Group predicted thousands of excess deaths from disease and birth complications.
The October 7 attacks on Israel killed 1,139 people, including 764 civilians and 373 Israeli security personnel. A further 251 persons were taken hostage during the initial attack on Israel to the Gaza Strip. A further 479 Palestinians, including 116 children, and 9 Israelis have been killed in the occupied West Bank (including East Jerusalem). Casualties have also occurred in other parts of Israel, as well as in southern Lebanon, and Syria.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo. Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
  2. Ritz

    Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

    Wanaukumbi Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe. Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...
  3. sanalii

    Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

    Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita. Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si...
  4. osu2014

    Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas. Kufikiwa kwa makubaliano haya kumefanya wakaazi wa Gaza kushangilia na kuandamana barabarani kwa furaha na vifijo. Israel...
  5. Mindyou

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Wakuu, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita. Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
  6. Eli Cohen

    Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

    Unajua unafiki ndio mlionao. Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli. Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel...
  7. Jackson94

    Nani ataiongoza Hamas baada ya kuuawa kwa Yahya Sinwar?

    Chanzo cha picha,EPA Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
  8. hamis77

    Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake

    Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake Siku 5 zilozipita Netanyahu alitangaza mauaji (assasination) ya viongozi wa Hamas na Hezbollah. Leo IDF wamemuua kiongozi mkuu wa Hamas pamoja na majenerali kadha wa kadha wa Hamas. Yahya Sanwar ameongoza...
  9. U

    Kiongozi Hamas ajeruhiwa vibaya, gari lake lasambaratishwa na drone za IDF akitokea ndani ya nyumba yake akielekea kupanda gari lake

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi mwingine Hamas amejeruhiwa vibaya na kombora la drone za IDF Leo huko Lebanon Unajua kilichotokea? Drone za IDF zilipiga na kulipua gari lake wakati gaidi huyo akitokea ndani ya nyumba yake kuelekea kwenye gari lake Sijui ni Mungu wake kamuokoa? Sijui IDF...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kuuawa kwa kiongozi wa Hamas 'haisaidii' mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Biden

    Kuuawa kwa kiongozi wa Hamas 'haisaidii' mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Biden Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh "hayasaidii" mazungumzo kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano huko Gaza. Maelezo ya picha,Marekani imesema kuwa haikuhusika...
  11. M

    Robert Heriel Mtibeli, kwanini hujatoa tamko lolote kuhusu mashambulizi yaliyofanya na Israel?

    Hali gani? Sifahamu Watibeli mnasalimiana vipi, hivyo naomba nitumie salamu ya kawaida ya kitanzania. Habari! Nimeshawishika kuja na swali kufuatia vita na migogoro inayoendelea kati ya Israel na Iran. Kwa kawaida, Wakristo wengi wapo upande wa Israel, na Waislam wengi wapo upande wa Iran...
  12. U

    Kamanda Mkuu wa HAMAS, Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo...
  13. U

    Ayatollah Khamenei atoa agizo zito kuwa Israel ipigwe moja Kwa moja

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameagiza Jeshi la nchi hiyo kufanya ishambulizi la moja kwa moja ndani ya ardhi ya Israel Ili kulipia kisasi dhidi ya mauaji ya Ismail haniyeh yaliyodaiwa kufanyiwa na nchi hiyo Soma taarifa kamili hapo chini...
  14. Webabu

    Misri wameisaidia pakubwa Israel kupigana na Hamas. Bila msaada huo pamoja na mataifa makubwa ya Ulaya, Israel ingekimbia vita mapema

    Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu. Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na...
Back
Top Bottom