Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo.
Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
Wanaukumbi
Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe.
Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...
Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si...
Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas.
Kufikiwa kwa makubaliano haya kumefanya wakaazi wa Gaza kushangilia na kuandamana barabarani kwa furaha na vifijo.
Israel...
Wakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
Unajua unafiki ndio mlionao.
Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.
Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel...
Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar
Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake
Siku 5 zilozipita Netanyahu alitangaza mauaji (assasination) ya viongozi wa Hamas na Hezbollah.
Leo IDF wamemuua kiongozi mkuu wa Hamas pamoja na majenerali kadha wa kadha wa Hamas. Yahya Sanwar ameongoza...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi mwingine Hamas amejeruhiwa vibaya na kombora la drone za IDF Leo huko Lebanon
Unajua kilichotokea?
Drone za IDF zilipiga na kulipua gari lake wakati gaidi huyo akitokea ndani ya nyumba yake kuelekea kwenye gari lake
Sijui ni Mungu wake kamuokoa?
Sijui IDF...
Kuuawa kwa kiongozi wa Hamas 'haisaidii' mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Biden
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh "hayasaidii" mazungumzo kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano huko Gaza.
Maelezo ya picha,Marekani imesema kuwa haikuhusika...
Hali gani?
Sifahamu Watibeli mnasalimiana vipi, hivyo naomba nitumie salamu ya kawaida ya kitanzania. Habari!
Nimeshawishika kuja na swali kufuatia vita na migogoro inayoendelea kati ya Israel na Iran.
Kwa kawaida, Wakristo wengi wapo upande wa Israel, na Waislam wengi wapo upande wa Iran...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha
Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameagiza Jeshi la nchi hiyo kufanya ishambulizi la moja kwa moja ndani ya ardhi ya Israel Ili kulipia kisasi dhidi ya mauaji ya Ismail haniyeh yaliyodaiwa kufanyiwa na nchi hiyo
Soma taarifa kamili hapo chini...
Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.