Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu.
Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini.
Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon.
Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo.
Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X...
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa
Mstari mwekundu ulikua ni kusini mwa Lebanon tu na kaskazini mwa Israel
Sasa mzayuni amevuka mstari mwekundu uliowekwa...
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.