MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI
KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.
Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
Inaonekana hata Rais Kagame angetamani hii migogoro iishe ila ni kama kuna shinikizo kubwa sana ambalo hata yeye anashindwa kulimudu.
https://x.com/Sentletse/status/1885081658363203707?s=19
Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas
Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa
Serikali ya mapinduzibua Irani...
Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.
Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya...
Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe utabarikiwa ?
Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake...
Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda.
Kijana Yuda alikuja kuwa mtu msumbufu nzima ya Israeli! Kipindi hicho Waisraeli walikuwa wakipitia...
Wanajamii waswahili walisema kikulacho kimo nguoni mwako, usemi huu umedhihirika baada nyaraka kuvuja zikionyesha utawala wa aliyekuwa rais wa Syria Asad alikiuwa akishirikiana na serikali ya Israeli kuwabonda Iran na Hesbolah
Kama mtakumbuka ndege za Isreli zilikuwa zinashinda zikipiga...
Israeli imefanya la kustajaabisha huko Syria
Imeshambulia ngome (bezi) za Syria kwa 80% kwa mashambulizi 250 ambayo yameharibu meli, ndege, vifaru na maghala yote ya makombora na silaha zilizokuwa zinatumiwa na Assad, Hezbollah na Iran kwa kile ilichokiita kuzuia silaha hizo zisiangukie...
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s removal.
The unnamed source told the state-funded Israeli Army Radio that “more than 250 military targets...
Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel.
Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
baada
bila
eneo
israel
israeli
jeshi
jeshi la israel
kilele
kimkakati
kuwasaidia
lebanon
mipaka
mlima
syria
udhibiti
umuhimu
upande
upinzani
waasi
wake
wapinzani
Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu!
Kwa nini Rais wa Israel amenyamaziwa katika shutuma inazotupiwa Israel kuhusu utendaji wa jeshi lake dhidi ya Hamas wakati yeye...
Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi.
Hamas ni ufupisho wa maneno Harakat al-Muqawama al-Islamiyya ambapo kwa Kiswahili ni Vuguguvu la Upinzani la Kiislamu...
Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo.
Tunathubutu kusema...
Ijumaa ya tarehe 27 September 2024, katikati ya makao makuu ya Hezbollah yaliyopo kwenye mtaa uitwao Danieh kwenye viunga vya jiji la Beirut nchini Lebanon:
Kikao cha kimkakati kilikuwa kikiendelea katika chumba kilicho ardhini kwenye handaki mahali hapo.
Chumba hiki kilikuwa chini umbali wa...
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
Wanaukumbi.
Redio ya Jeshi la Israeli:
Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa..
=========================
Israeli Army Radio:
A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the...
Wanaukumbi.
CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua."
Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya ya kisaikolojia inayowapata wale waliohusika katika mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza.
Wachinjaji...
Wagalatia 3:28 ,29
Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
Ni hayo tu. Mfano mimi sio mmatumbi kimsingi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.