israeli

  1. Ritz

    IDF yathibitisha kuwaua watekwa wake 3 wa Israeli

    Wanaukumbi. Jeshi la Israel limethibitisha kwa mara ya kwanza habari zilizoripotiwa na Channel 12: mateka Ron Sherman, Nick Beizer, na Elia Toledano waliuawa kutokana na mashambulizi ya 'IDF'.-Kiebrania Ch.12 NETENYAHU kachanganyikiwa atawamaliza Mateka wake ambao alijitapa anaenda Rafah...
  2. Mhafidhina07

    Taifa la Israeli linaweza kuwa Taifa la Manabii/Mungu au ndiyo fununu za kufubaza akili za watu kuhusu dini?

    Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa la Marekani kuwa na mchanganyiko wa Rangi. Wakati najiribu kuangalia kwa ukaribu uwepo wa Taifa...
  3. Ritz

    Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

    Wanaukumbi. Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa...
  4. Baba Dayana

    Ni adhabu tosha kwa Israeli

    Kiongozi wa Hizbullah Nasrallah: Kusubiri wiki moja kwa Israeli shambulio la Iran ni sehemu ya adhabu Israeli hana ubabe tena ni mwoga na hajui atafanya nini endapo US ataacha kumpa msaada
  5. Webabu

    Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  6. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  7. Ritz

    🇮🇱 Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

    Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia. Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
  8. Jackal

    Mpaka sasa Israeli imeua nusu ya Makamanda wa Hezbollah huko Kusini mwa Lebanon

    Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since outbreak of fighting after October 7th, including half of the Lebanese terror group’s officers on the front. --- IDF has killed half of Hezbollah commanders on Israeli border, says Defense Minister Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since...
  9. Kiminyio 01

    Yaliyojiri Mashariki ya kati

    The Israeli occupation army is moving its troops to the Lebanese border ahead of an increasingly likely ground invasion of southern Lebanon.
  10. Ritz

    Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia" Sehemu muhimu zaidi za hotuba yake ya leo: - Tuna intel kwamba Jeshi la Anga la Israeli linafanya mazoezi huko Kupro...
  11. Ritz

    Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

    Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv. Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda...
  12. M

    Israeli SI taifa teule TENA. (Fact)

    Habari za muda! Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alilichagua taifa la Israeli kama taifa lake teule, akilipa amri zake kwa njia ya maagano, ili wazifuate na wasiziasi. Pamoja na hayo, Israeli waliasi mara nyingi. Bado Mungu alikuwa na imani nao, akawapelekea agano tena kupitia Yesu Kristo, bado...
  13. Sir John Roberts

    Marekani yakiri Israeli hawezi kuishinda Hamas kwa kuvamia eneo la Rafah

    Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas kuwa imara zaidi na kukwamisha mazungumzo ya usitishwaji Vita huko Gaza. Israeli imesema kuwa...
  14. Sir John Roberts

    Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC

    Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza. Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge...
  15. Ritz

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA" Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah. Hamas pia walisema...
  16. GENTAMYCINE

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  17. Sir John Roberts

    Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita. Iran katuacha vinywa wazi jumamosi...
  18. B

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja? Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani. Nikurudishe nyuma kidogo. Mambo mema...
  19. Nsanzagee

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba...
  20. I

    Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

    Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
Back
Top Bottom