issues

  1. L

    Muwekezaji kwenye IT issues anahitajika

    Mimi na mwenzangu ni vijana wenye ujuzi tofauti kwenye career ya IT and telecomm! Tumekuwa tukifanya kazi zetu kwa kuokoteza okoteza hvohvo ila tumefukiri kwamba kama tukapata mtu akakubali kuwekeza kwenye vipaji vyetu tufungue kampuni na pia awe na connection kwenye baadhi ya ofisi ili...
  2. Wazalendo unity_official

    Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%...
  3. M

    Kenyans love downing Tanzania to feel better but missing their own serious issues

    If the Kenyan government failed to repay the debts of $ 3.21 billion to China taken up for an ongoing major railway project, China would possibly take the port of Mombasa as an alternative. SGR (Standard Gauge Railway) a 472-kilometer line from Mombasa Nairobi, where work started in 2013, and...
  4. V

    Msaada hp laptop inasumbua their three issues to be solved

    Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop 1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua 2. Microsoft office app zangu ikifungua...
  5. Pascal Mayalla

    Pongezi Mhe. Spika Kuliongoza Vyema Bunge Letu, ila Sio Busara Kutumia Bunge Kujibu Trivia Issues za Mitandaoni, Zina Downplay Hoja Rasmi za Msingi!.

    Wanabodi, Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi Hivyo hili ni...
  6. Kaduguda

    President Trump issues a travel ban on passengers from Europian union but excludes the UK

    Akihutubia taifa kutokea ikulu ya Marekani leo, Rais wa Marekani Donald Trump ametoa lawama kwa Umoja wa Ulaya kwa kutochukua hatua za haraka katika kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona. Kufuatia hilo, ametoa zuio la wasafiri wote kutokea umoja wa ulaya kuingia nchini Marekani kuanzia saa...
Back
Top Bottom