Stephanie Italia Ricci (Italian: [iˈtaːlja ˈrittʃi]; born October 29, 1986) is a Canadian actress best known for playing White House Chief of Staff and Special Advisor Emily Rhodes in Designated Survivor.
Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya.
Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway...
Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma
Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .
Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday.
Italian Prime Minister Mario Draghi submitted his resignation to President Sergio Mattarella on Thursday, plunging the European...
Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine
Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi
mbalimbali nchini Tanzania
Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof.
Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia
leo.
Prof. Manya...
Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa.
Kundi hilo la Wadukuzi linalojiita ‘Everest’ limedai kuwa linamiliki zaidi ya Gigabaiti 60 za taarifa...
Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake.
Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba.
Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo.
"Parapanda italia parapanda,
Parapanda italia parapanda"
Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameuomba Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya balozi wake nchini DRC katika shambulizi la kushtukiza.
Mwana Diplomasia Luca Attanasio, mwenye umri wa miaka 43, aliuwawa siku mbili zilizopita baada ya msAfara wa magari ya Shirika la Mpango wa...
Washambuliaji ambao hawajajulikana wamevamia msafara wa UN na kupelekea kifo cha balozi wa Italia nchini Congo DRC pamoja na bodygurd wake.
----
Italian ambassador killed in DR Congo attack, says Italy's foreign ministry
Rome, Italy (CNN)The ambassador to the Democratic Republic of Congo...
Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia.
Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za umma, viwanja vya michezo, makaburi na vituo vya mabasi endapo kutakuwa watu wengine waliosimama...
Jana zilitoka habari za ndani au chini ya kapeti kua nchi ya Italia inafikiria kuitenga Huawei kwenye mfumo wake wa mtandao wa 5G.
Juzi pia zilitoka habari kua Marekani inaishinikiza Brazil kutafta kampuni nyingine nje ya Huawei kuunda mfumo wake wa taknolojia ya 5G na Marekani akaahidi yuko...
Waziri Mkuu wa Italia, Giuseppe Conte amesema nchi hiyo itafungua mipaka yake kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuanzia Juni 03 mwaka huu
Conte amesema hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kufufua uchumi na ameeleza kuwa hakutokuwa na utaratibu wa karantini ya lazima kwa...
Nchi ya Italia imeazimia kuruhusu safari Juni 3, moja kati ya hatu ya kufungua uchumi baada ya kufunga nchi hiyo kuepuka maambukizi ya #CoronaVirus tangu Machi 9, 2020
Watu wataruhusiwa kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Aidha kuanzia Mei 18 hawatahitaji kuwa na sababu ya kusafiri au kutembea...
MTAWA wa Kanisa Katoliki ambaye ni Mtanzania kutoka Mkoani Kilimanjaro, Sista Anastasia Cristian Malisa amefariki dunia kwa virusi vya corona nchini Italia ambako alikuwa akitoa huduma ya kiroho kwa takribani miaka 26.
Habari zilizochapishwa na mtandao wa Kanisa Katoliki duniani wa vaticannews...
Habari njema kutoka Italia zinaarifu kuwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza imerekodi idadi kubwa ya watu waliopona virusi vya corona katika kipindi cha masaa ishirini na nne.
Kulingana na mkuu wa idara ya kukabiliana na majanga Angelo Borelli, watu 2,563 wamethibitishwa kupona virusi vya corona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.