Habari wana Jamii forums
Hivi kuna ukweli wowote juu ya ivf mbona ni kama wapo kiutapeli na kibiashara zaidi ya kusaidia watu, unakuta clinic moja kwa mwaka anaweza akafanikiwa mmoja watakae muweka kwenye post zao za social media na waliobaki wataambiwa warudi na wanalioshwa tena ikiwa kabla ya...
Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda...
Wakuu habari,
Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba.
Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo.
Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Salaam wana jukwaa,
Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 35. Nilizaa watoto watatu, mdogo ana miaka 8 sasa. Nilikuwa nikisumbuliwa sana na kisukari daktari akanifunga kizazi. Nimedhibiti kisukari kwa chakula na sasa sukari iko kawaida kwa miaka miwili sasa. Bado niko makini sana na vyakula, na...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) nchini Tanzania itaanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari mwaka 2020.
Hayo yameelezwa leo Jumanne Novemba 19, 2019 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya MNH tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.