Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi.
Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika ghasia za Julai 2021 zilizoua zaidi ya watu 350.
Zuma-Sambulida alifika ana kwa ana mbele ya...
Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56...
Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK)
Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya Chama Tawala cha ANC
Zuma ameendelea na msimamo kuwa Uchaguzi Mkuu wa...
Chama cha African National Congress (ANC) kimeahirisha kikao chake cha kamati kuu ya kitaifa (NEC) kilichopangwa kufanyika leo Jumanne, na sasa kitafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 6 Juni, 2024.
Mmmoja wa viongozi wakuu wa chama cha ANC ameeleza kuwa kuahirishwa huko ni matokeo ya mzozo mkubwa...
Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA?
Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka...
AFRIKA KUSINI: Mahakama ya Juu imetoa uamuzi unaomuondoa Jacob Zuma, Rais wa zamani wa taifa hilo katika orodha ya Wagombea katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, imeelezwa kuwa Zuma amepoteza sifa za kushiriki Uchaguzi kutokana na Kifungo cha...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani.
Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana...
Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais.
Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA) imesema Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Transnet, Brian Molefe na Mkurugenzi wa Fedha...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameiomba Mahakama ya Juu nchini humo kubatilisha uamuzi unaomtaka arejeshwe jela ili kutumikia kifungo cha miezi 15, hatua ambayo hapo awali ilisababisha maandamano na uporaji katika jimbo lake la KwaZulu Natal hadi mjini Johanesbourg.
Zuma mwenye...
Sabaya court decision is not news. The outcomes were known from the date he was arrested. More importantly, this matter has political backups and background. It isn't news and not a surprise. If Jacob Zuma was jailed the former president, who is Sabaya, a merely District Commissioner! One...
Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe.
Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
15 August 2021
Johannesburg, Republic of South Africa
Rais wa zamani Jacob Zuma amelazwa hospitalini katika maeneo ya KwaZulu Natal na kufanyiwa upasuaji wa mwanzo ambao katika siku chache zijazo anategemewa kufanyiwa operesheni kadhaa za kitabibu hivyo ataendelea kulazwa hospitalini kwa muda...
Kesi ya Ufisadi inayomkabili Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imeahirishwa kwa mara nyingine hadi Septemba 9 kutokana na hali yake ya kiafya. Zuma alilazwa Hospitalini wiki iliyopita.
Jaji Piet Koen wa Mahakama Kuu ameamuru upande wa Zuma kuwasilisha Ripoti ya Afya hadi kufikia Agosti 20. Pia...
Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma.
Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake.
Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema hana haja tena ya kwenda jela baada ya Mahakama ya Kikatiba iliyotoa hukuku ya kifungo cha miezi 15 jela kukubali kusikiliza rufaa yake.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake siku ya Jumapili, Zuma amesema hakuna sheria inayomlenga...
Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 alisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani.
Amesema yeye ni Mzee wa miaka 79 na hali yake kiafya ni miongoni mwa sababu hatakiwi kwenda jela kwakuwa itamuweka kwenye hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.